Ezekieli 13:8 BHN

8 “Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa kuwa maneno yenu ni udanganyifu na maono yenu ni ya uongo mtupu, basi, mimi nitapambana nanyi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:8 katika mazingira