8 Nitapambana naye. Nitamfanya kuwa ishara na kielelezo; nitamwondoa kabisa kutoka taifa langu. Hapo ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 14
Mtazamo Ezekieli 14:8 katika mazingira