Ezekieli 14:9 BHN

9 Na ikiwa nabii huyo atadanganyika akasema kitu, basi mimi Mwenyezi-Mungu nimempotosha. Nami nitanyosha mkono wangu kumwondoa nabii huyo kutoka kwa watu wangu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 14

Mtazamo Ezekieli 14:9 katika mazingira