6 Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kama vile nilivyoutoa mti wa mzabibu kati ya miti ya msituni, ukateketezwa motoni, ndivyo nilivyotoa wakazi wa Yerusalemu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 15
Mtazamo Ezekieli 15:6 katika mazingira