7 Nitawakabili vikali. Hata kama wataukimbia moto, huo moto utawateketeza. Hapo nitakapowakabili vikali, ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 15
Mtazamo Ezekieli 15:7 katika mazingira