Ezekieli 16:13 BHN

13 Basi, ukapambika kwa dhahabu na fedha. Vazi lako likawa la kitani safi na hariri, nalo lilikuwa limenakshiwa. Ulitumia unga safi, asali na mafuta kwa chakula chako. Ukawa mzuri kupindukia, ukaifikia hali ya kifalme.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:13 katika mazingira