Ezekieli 16:14 BHN

14 Sifa zako zikaenea kati ya mataifa kutokana na uzuri wako, kwani uzuri wako ulikamilika kwa sababu ya fahari niliyokujalia. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:14 katika mazingira