Ezekieli 16:19 BHN

19 Chakula changu nilichokupa, ulikitoa kwa sanamu hizo kuwa harufu ya kupendeza kwani nilikulisha kwa unga safi, mafuta na asali. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema!

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:19 katika mazingira