Ezekieli 16:20 BHN

20 “Tena, watoto wako wa kiume na wa kike ulionizalia uliwatwaa, ukazitambikia sanamu zako kwa kuwateketeza. Je, unadhani uzinzi wako ulikuwa ni jambo dogo?

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:20 katika mazingira