Ezekieli 16:47 BHN

47 Lakini wewe hukutosheka kufuata mienendo yao au kutenda sawa na machukizo yao. Kwa muda mfupi tu ulipotoka kuliko walivyopotoka wao katika mienendo yako yote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:47 katika mazingira