Ezekieli 16:48 BHN

48 Kweli naapa kwa nafsi yangu, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu kuwa, dada yako Sodoma na binti zake, hawakufanya maovu kama yale uliyotenda wewe na binti zako.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:48 katika mazingira