Ezekieli 16:60 BHN

60 Lakini mimi nitalikumbuka agano langu nililoagana nawe katika siku za ujana wako. Nitafanya nawe agano la milele.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:60 katika mazingira