Ezekieli 16:61 BHN

61 Nawe utakumbuka mienendo yako na kuona aibu wakati nitakapokupa dada zako, mkubwa na mdogo, kama binti zako, ingawa si kwa sababu ya agano kati yangu na wewe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:61 katika mazingira