Ezekieli 17:12 BHN

12 “Sasa waulize hao watu waasi kama wanaelewa maana ya mfano huo. Waambie kuwa, mfalme wa Babuloni alikuja Yerusalemu, akamwondoa mfalme na viongozi wake, akawapeleka Babuloni.

Kusoma sura kamili Ezekieli 17

Mtazamo Ezekieli 17:12 katika mazingira