6 Mmea ukakua ukawa mzabibuwa aina ya mti utambaao;matawi yake yakamwelekea,na mizizi yake ikatanda chini yake.Mzabibu ukachipua matawi na majani mengi.
Kusoma sura kamili Ezekieli 17
Mtazamo Ezekieli 17:6 katika mazingira