Ezekieli 17:7 BHN

7 Lakini kulikuwa na tai mwingine mkubwa;alikuwa na mabawa makubwa ya manyoya mengi.Basi, ule mzabibu ukamtandia mizizi yake,ukamwelekezea matawi yake,ili aumwagilie maji.

Kusoma sura kamili Ezekieli 17

Mtazamo Ezekieli 17:7 katika mazingira