Ezekieli 17:8 BHN

8 Mzabibu ulikuwa umetolewa kitaluni mwakeukapandikizwa penye udongo mzuri na maji mengi,ili upate kutoa matawi na kuzaa matundauweze kuwa mzabibu mzuri sana!

Kusoma sura kamili Ezekieli 17

Mtazamo Ezekieli 17:8 katika mazingira