9 Sasa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuuliza:Je, mzabibu huo utaweza kustawi?Je, hawatangoa mizizi yakena kuozesha matunda yakena matawi yake machanga kuyanyausha?Hakutahitajika mtu mwenye nguvu au jeshikuungoa kutoka humo ardhini.
Kusoma sura kamili Ezekieli 17
Mtazamo Ezekieli 17:9 katika mazingira