Ezekieli 18:16 BHN

16 hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:16 katika mazingira