Ezekieli 18:17 BHN

17 huepa kutenda uovu, hakopeshi kwa riba, wala kujitafutia ziada, huzifuata amri na maagizo yangu; huyo hatakufa kwa sababu ya uovu wa baba yake. Huyo ataishi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:17 katika mazingira