Ezekieli 18:23 BHN

23 Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:23 katika mazingira