3 Alimlea mtoto mmojawapo wa watoto wake,mtoto huyo naye akawa simba kijana hodari.Akajifunza kwa mama yake kuwinda,akawa simba mla watu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 19
Mtazamo Ezekieli 19:3 katika mazingira