Ezekieli 20:13 BHN

13 Lakini Waisraeli waliniasi huko jangwani; hawakuzifuata kanuni zangu, bali walizikataa sheria zangu ambazo mtu akizifuata huishi. Sabato zangu walizikufuru daima, nami nikasema kwamba nitawamwagia ghadhabu yangu na kuwaangamiza hukohuko jangwani.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:13 katika mazingira