Ezekieli 20:14 BHN

14 Lakini nilijizuia kufanya hivyo kwa sababu ya heshima ya jina langu ili nisidharauliwe kati ya watu wa mataifa ambao walishuhudia jinsi nilivyowatoa Waisraeli nchini Misri.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:14 katika mazingira