15 Hata hivyo, niliwaapia kulekule jangwani kwamba sitawaingiza katika nchi niliyowapa, nchi inayotiririka maziwa na asali na nchi nzuri kuliko nchi zote.
Kusoma sura kamili Ezekieli 20
Mtazamo Ezekieli 20:15 katika mazingira