Ezekieli 20:21 BHN

21 “Lakini hata wazawa wao hao waliniasi. Hawakufuata kanuni zangu, hawakushika wala kutekeleza amri zangu ambazo mtu akizishika, huishi. Walizikufuru Sabato zangu. Basi nikasema kwamba nitawamwagia ghadhabu yangu na kuitimiza hasira yangu juu yao huko jangwani.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:21 katika mazingira