22 Lakini nilizuia mkono wangu kwa sababu ya heshima ya jina langu ili nisidharauliwe kati ya watu wa mataifa walioona nikiwatoa nchini Misri.
Kusoma sura kamili Ezekieli 20
Mtazamo Ezekieli 20:22 katika mazingira