41 Baada ya kuwatoa katika nchi ambako mmetawanywa na kuwakusanya pamoja, nitazipokea tambiko zenu za harufu nzuri. Nami nitadhihirisha utakatifu wangu kati yenu mbele ya mataifa mengine.
Kusoma sura kamili Ezekieli 20
Mtazamo Ezekieli 20:41 katika mazingira