Ezekieli 20:42 BHN

42 Nanyi mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, wakati nitakapowaleta mpaka katika nchi ya Israeli, nchi niliyoapa kuwapa wazee wenu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:42 katika mazingira