Ezekieli 20:43 BHN

43 Huko ndiko mtakapokumbuka mwenendo wenu na matendo yenu mabaya ambayo yaliwatieni unajisi; nanyi mtachukizwa kabisa kwa sababu ya maovu yote mliyotenda.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:43 katika mazingira