Ezekieli 20:6 BHN

6 Siku hiyo niliwaapia kwamba nitawatoa nchini Misri na kuwaongoza mpaka kwenye nchi niliyowachagulia, nchi inayotiririka maziwa na asali na nchi nzuri kuliko nchi zote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:6 katika mazingira