Ezekieli 20:7 BHN

7 Niliwaambia: ‘Tupilieni mbali machukizo yote mnayoyapenda; msijitie unajisi kwa sanamu za miungu ya Misri, kwa maana mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.’

Kusoma sura kamili Ezekieli 20

Mtazamo Ezekieli 20:7 katika mazingira