Ezekieli 21:19 BHN

19 “Wewe mtu! Chora njia mbili ambapo utapitia upanga wa mfalme wa Babuloni. Njia zote mbili zianzie katika nchi moja. Mwanzoni mwa kila njia utaweka alama ya kuonesha upande mji uliko.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:19 katika mazingira