Ezekieli 21:20 BHN

20 Utachora njia upanga utakapopitia kwenda kuufikilia mji wa Raba wa Waamoni, na njia nyingine inayoelekea mji wenye ngome wa Yerusalemu nchini Yuda.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:20 katika mazingira