21 Mfalme wa Babuloni anasimama mwanzoni mwa hizo njia mbili, kwenye njia panda, apate kupiga bao. Anatikisa mishale, anaviuliza shauri vinyago vya miungu yake na kuchunguza maini ya mnyama.
Kusoma sura kamili Ezekieli 21
Mtazamo Ezekieli 21:21 katika mazingira