Ezekieli 21:22 BHN

22 Mshale unaodokezea ‘Yerusalemu’ umeangukia mkono wake wa kulia. Anaweka zana za kubomolea, anaamuru mauaji na kelele za vita zifanywe, zana za kubomolea malango zimewekwa, maboma na minara ya kuuzingira mji vimewekwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:22 katika mazingira