Ezekieli 21:23 BHN

23 Lakini watu wa Yerusalemu wataudhania kuwa ni utabiri wa uongo kwa sababu wamekula kiapo rasmi. Hata hivyo unabii huu utawakumbusha uovu wao na kusababishwa kukamatwa kwao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:23 katika mazingira