Ezekieli 21:25 BHN

25 “Nawe mtawala wa Israeli wewe ni mpotovu kabisa. Siku yako imefika, naam, siku ya adhabu yako ya mwisho.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:25 katika mazingira