Ezekieli 21:29 BHN

29 Wakati nyinyi mmetulia katika maono yenu madanganyifu na utabiri wenu wa uongo, upanga utakuwa tayari kukata shingo za waasi na waovu. Siku imewadia ambapo maovu yenu yataadhibiwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:29 katika mazingira