Ezekieli 21:28 BHN

28 “Ewe mtu, tabiri kuhusu Waamoni na maneno yao ya dhihaka kwa Waisraeli: Waambie kuwa nasema:Upanga, upanga!Upanga umenyoshwa kuua,umenolewa uangamize,umengarishwa ungae kama umeme.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:28 katika mazingira