Ezekieli 21:27 BHN

27 Uharibifu! Uharibifu! Hamna chochote katika mji huu nitakachosaza. Lakini kabla ya hayo atakuja yule ambaye nimempa mamlaka ya kuuadhibu, ambaye mimi nitampa mji huo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 21

Mtazamo Ezekieli 21:27 katika mazingira