Ezekieli 22:3 BHN

3 Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe ni mji unaowaua watu wako mwenyewe na kujitia unajisi kwa kufanya sanamu za miungu; kwa hiyo wakati wako wa adhabu umewadia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 22

Mtazamo Ezekieli 22:3 katika mazingira