Ezekieli 22:4 BHN

4 Una hatia kutokana na damu uliyomwaga. Umejifanya najisi kwa sanamu ulizojifanyia. Siku yako ya adhabu umeileta karibu nawe; naam, siku zako zimehesabiwa. Ndio maana nimekufanya udhihakiwe na mataifa na kudharauliwa na nchi zote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 22

Mtazamo Ezekieli 22:4 katika mazingira