Ezekieli 23:40 BHN

40 “Hata walituma wajumbe wawaite watu wa mbali, nao wakaja. Kwa ajili yao, walioga, wakajitia wanja na kujipamba kwa johari.

Kusoma sura kamili Ezekieli 23

Mtazamo Ezekieli 23:40 katika mazingira