Ezekieli 23:41 BHN

41 Kisha wakawa wameketi kwenye makochi mazurimazuri, na mbele yao meza imetandikwa. Juu ya meza hiyo waliweka ubani wangu na mafuta yangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 23

Mtazamo Ezekieli 23:41 katika mazingira