Ezekieli 23:42 BHN

42 Basi, kukasikika sauti za kundi la watu wasiojali kitu, kundi la wanaume walevi walioletwa kutoka jangwani. Waliwavisha hao wanawake bangili mikononi mwao na taji nzuri vichwani mwao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 23

Mtazamo Ezekieli 23:42 katika mazingira