Ezekieli 24:10 BHN

10 Nitaleta magogo ya kuni na kuwasha moto. Nitachemsha nyama vizuri sana. Nitachemsha na kukausha mchuzi, na mifupa nitaiunguza!

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:10 katika mazingira