Ezekieli 24:11 BHN

11 Hicho chungu kitupu nitakiweka juu ya makaa kipate moto sana, shaba yake ipate moto, uchafu wake uyeyushwe na kutu iunguzwe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:11 katika mazingira