Ezekieli 24:17 BHN

17 Utasononeka, lakini sio kwa sauti. Hutamfanyia matanga huyo aliyekufa. Vaa viatu vyako na kuvaa kilemba; usiufunike uso wako wala kula chakula cha matanga.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:17 katika mazingira