Ezekieli 24:16 BHN

16 “Wewe mtu! Tazama, kwa pigo moja nitakuondolea mpenzi wako. Lakini usiomboleze, wala kulia, wala kutoa machozi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:16 katika mazingira